Masomo katika imani
Ufafanuzi wa masuala muhimu ya imani
20 Masomo-
SOMO LA KWANZA.
Utakapo ulizwa: Ni mambo yapi anayo ulizwa Mwanadamu katika Kaburi lake? Sema:2 0 -
SOMO LA PILI:
Utakapo ulizwa: Nani Mola wako?1 0 -
SOMO LA TATU
Mola ndiye muabudiwa, na kwa ajili ya ibada katuumba aliye takasika na kutukuka, na ushahidi ni kauli yake Mtukufu1 0 -
SOMO LA NNE:
Maana ya Laa ilaaha illa llaah:2 0 -
SOMO LA TANO
Na miongoni mwa aina za Ibada alizoziamrisha Mwenyezi Mungu mfano kama1 0 -
SOMO LA SITA
Na ushahidi wa kuomba dua, ni kauli yake Mtukufu:1 0 -
SOMO LA SABA
Na ushahidi wakuwa na hofu, ni kauli yake Mtukufu:1 0 -
SOMO LA NANE
Na ushahidi wa kutegemea kwa Allah, ni kauli yake Allah Mtukufu:1 0 -
SOMO LA TISA
Na ushahidi wakuwa na woga, ni kauli yake Mtukufu:1 0 -
SOMO LA KUMI
Na ushahidi wa kuomba kinga, ni kauli yake Mtukufu:1 0 -
SOMO LA KUMI NA MOJA
Na ushahidi wa kuchinja, ni kauli yake Allah Mtukufu:1 0 -
SOMO LA KUMI NA MBILI
Swali la pili: Utakapo ulizwa: Ni ipi dini yako?1 0 -
SOMO LA KUMI NA TATU
Nguzo za uislamu ni tano1 0 -
SOMO LA KUMI NA NNE
Na nguzo za imani ni sita: kama zilivyo kuja katika Hadithi:1 0 -
SOMO LA KUMI NA TANO
Swali la tatu: Utakapo ulizwa, nani Nabii wako?1 0 -
SOMO LA KUMI NA SITA
Mwenyezi Mungu alimtuma ili kuwaonya watu na ushirikina, na awaite kuja katika kumpwekesha Mwenyezi Mungu (Tauhidi), na ushahidi ni kauli yake Allah Mtukufu:1 0 -
SOMO LA KUMI NA SABA
Amekaa miaka kumi akiwaita watu kumpwekesha Mwenyezi Mungu1 0 -
SOMO LA KUMI NA NANE
Dini ya uislamu ni ya milele1 0 -
SOMO LA KUMI NA TISA
Amewawajibishia Mwenyezi Mungu waja wote kumpinga shetani1 0 -
SOMO LA ISHIRINI
Matwaghuti ni wengi(vinavyo abudiwa kinyume na Allah). Na wakuu wao ni watano:1 0